Creator Profile - ViralVibes
Subscribers
Total Views
Videos Published
Est. Revenue
About
Hii Njia Inatoa by Temidayo ni podcast ya mazungumzo ya kina kuhusu maisha halisi ya Tanzania. Hapa hatuuziwi ndoto, tunachambua uhalisia. Biashara, pesa, afya, kazi, mahusiano, na maamuzi magumu ambayo watu hukutana nayo kila siku katika mazingira ya Kitanzania. Kila kipindi ni mahojiano ya wazi na watu wanaofanya, si wanaosema. Wajasiriamali, wataalamu, madaktari, wafanyakazi, na watu wa kawaida wenye uzoefu wa kweli. Tunazungumza kuhusu makosa, na jinsi watu wanavyopiga hatua bila kelele. Hii ni podcast inayokuhusu, yaa kuelewa jinsi mambo yanavyofanya kazi hapa nyumbani. Kama unatafuta mazungumzo yenye maana, yaliyo grounded, na yanayokuhusu wewe, Hii Njia Inatoa.
Channel Info
Performance
Your recent videos average 202 views. Growing this number is the fastest path to higher ad and deal revenue.
Growth tracking initializing
A baseline was just set — come back in 7+ days to see your 30-day growth rate.
Content Breakdown
You may also like
🏷️ Howto & Style →Similar creators
🏷️ Howto & Style →How Hii Njia Inatoa compares
vs 22,257 creators in Howto & Style