Creator Profile - ViralVibes

CHUKU MEDIA

🔍 New
@chukumedia

Subscribers

3.0K

Total Views

10.9K

Videos Published

0

Est. Revenue

$15/mo

About

Karibu kwenye familia ya CHUKU MEDIA sehemu ambayo tunakuletea taarifa za matukio mbali mbali za Kisanaa na burudani,Michezo,Trendings na Life style za mitaani. Pia tunawaandalia watazamaji wetu vipindi tofauti tofauti ambavyo vinahusisha wwatu wa rika zote Yaani tunazingatia Maadili na Tamaduni zetu. *VIPINDI HIVYO NI* ▶KIMBWETANI-ni kipindi ambacho tunapata nafasi ya kujadili Mada mbali mbali zinazohusisha wanachuo kuhusu maisha yao ya vyuoni. ▶THE STORY POINT-kipindi hichi kinahusisha wasanaa kwa ujumla kutoka sehemu mbali mbali so wanatutembelea kupiga story kuhusu sanaa. ▶SIMULIZI HURU-Simulizi za sauti zenye kusisimua,kufurahisha na kufundiaha zitasikika hapa. ▶MICHEZO DIMBANI-Hapa tunafafanua na kufanya uchambuzi kuhusu michezo ▶JARIDA LA MTAA-Tunafika maeneo na mitaa tofauti kuzungumza na wananchi. ▶UBUNIFU WETU-Tunakuletea bunifu kutoka kwa vijana mbali mbali. Maoni yako ni yapi?? Usiache kushare,like,comment Na ku subscribe channel yetu🙏🙏

Channel Info

Handle@chukumedia
FoundedUnknown
Channel AgeUnknown
CountryUnknown
LanguageUnknown
Total Videos0
Upload Rate

Performance

Avg Views / Video0
Views / Subscriber3.64x
Upload Rate
Engagement Score
0.0 / 10

Growth tracking initializing

A baseline was just set — come back in 7+ days to see your 30-day growth rate.

Est. Monthly Revenue
$15
AdSense — long-form$6
AdSense — Shorts$0
Brand deals (est.)$10
Assumed Shorts mix40%
📊

Category comparison

No category set for this creator.

Pending·Updated Mar 24, 2026·Synced Never updated·ID 17735588…